Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
One thing for sure
It doesn't matter coz andjul is mine tangu kitambo. Huyo baby s alikuwa mvamiaji tu.It's official. Andjul is out [emoji23][emoji23][emoji23]
AMUN RAAwww..!! nice, enjoy your beautiful day
Uje ukite kambi hapa kwenye uzi huuNipppoooooooo njiani lakini
Wewe kwa nini usianzishe wa kwako! Acha uwivu!Isis .unatutafuta maneno .anzisha Uzi wako Wa miungu yako ya tembo
wana uharibifu hao kina naniiiiiBora walitaka kunihatibia kwa babe S wangu
Nakumiss Baby wangu nakumbuka ulivyokuja kuniaga. HahahahhaNimegawa likes za kutosha..... nitarudi baadaye....kwaherini
Tuliwahi kwenda kupumzika na bae wangu.Hahahaha...kwa kweli....sijui ndo kaenda na kulala au kabebwa na mmiliki...
HahahWanaume tumeumbwa mateeso mateso kuhangaika.... Tuimbe site mkuu
Come on babyDuh nipo pages 13 nyuma hapana mnakimbiaaaa
Ha ha ha haaaa
Pole kakaFrom Arusha to Mwika.To attend a funeral service.
Tumia supersonic speed kama yanguYaani nitawakamata tu kwa spidi
Usijali mpenzi, achana nao hao . Tuko pamoja laazizi wangu.Sawa mkuu
Umechanganya aliyekuaga ni yule mwingine.Nakumiss Baby wangu nakumbuka ulivyokuja kuniaga. Hahahahha