ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
Ooh! Hapo sawa.Na uchachu wake ndo utamu wake sasa,ukitaka kuutoa uchachu unatumia maziwa mabichi au unga wa karanga kama kiungo.
Kuna ushindi huwa unatikana huko?Uliwahi shinda ukanyimwa pesa?
Kiongozi imekaa kiume [emoji23] [emoji125]Shwari tu kiongozi
Ila nyie si mwachanganya na kunde zenyewe..Au?Ooh! Kumbe mwaiita Safe, ikiwa haijasokotwa na kukaushwa nahisi inabaki kuwa majani ya kunde..Sina hakika.
Hahahaha wewe ni noma, hivi kuna biblia ya kijaluo, maana ninayo moja ya lugha mojawapo za maeneo yetu tuliyoirihi huwa tunaidurusuHahahahaha!
Huo ni wimbo, unahusu kufa kwa Bwana Yesu Kristo msalabani.
Hii ndiyo jela bana. Usiombe kufika huko
Sijui kama ipo/haipo..Vipi weye wa kule kule??Hahahaha wewe ni noma, hivi kuna biblia ya kijaluo, maana ninayo moja ya lugha mojawapo za maeneo yetu tuliyoirihi huwa tunaidurusu
Zikiitwa eti raba mtoni,Enzi hizo kandambili/raba zinavaliwa mikononi kwa tahadhali ya kukimbizwa au kuingia ndani.Shem Kalenga ndani ya Shuga rey
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28],Kiongozi imekaa kiume [emoji23] [emoji125]
Kweli etii[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28],
Nahisi utakuwepo, usingekuwepo sidhani kama watu wangeendelea kucheza.Kuna ushindi huwa unatikana huko?
i won'tStay away
Mbona kama mkuu tu, hahhaKweli etii
NaonaLeo nagawa likes tu
siandiki chochote