ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
Hahahahaha!Mi pia naokota humo, uligonga kile kijaruo cha mzee jaramogi oginga odinga[emoji3] [emoji3]
Na uchachu wake ndo utamu wake sasa,ukitaka kuutoa uchachu unatumia maziwa mabichi au unga wa karanga kama kiungo.Niliwahi kujaribu kula hii mboga ikanishinda, ule uchachu wake, unjano wa maji ikiwa yapikwa...Mboga kama dawa.
[emoji102] [emoji112]Mkuu ho habari
Uliwahi shinda ukanyimwa pesa?Mkeka bet, meridien, sportpesa. Matapeli wamejaa tele Tanzania
Ikiwa haijasokotwa na kukaushwa inaitwaje? Huku kwetu pwani ya mashariki, dar, kisarawe, mkulanga, bagamoyo, chalinze, morogoro vijijini kibaha. majani mabichi ya kunde huitwa safe,Nsansa ni mboga ya majani ya kunde iliyochemshwa, kusokotwa na kukaushwa, inatumika sana usukumani na unyamwezini..
Bee mwantumu sahale[emoji112]Mwantumuuuu[emoji119][emoji119][emoji119]
Poaaa moud niaje?Mkuu mambo, kwema ledada
Ooh! Kumbe mwaiita Safe, ikiwa haijasokotwa na kukaushwa nahisi inabaki kuwa majani ya kunde..Sina hakika.Ikiwa haijasokotwa na kukaushwa inaitwaje? Huku kwetu pwani ya mashariki, dar, kisarawe, mkulanga, bagamoyo, chalinze, morogoro vijijini kibaha. majani mabichi ya kunde huitwa safe,
Shwari tu kiongoziPoaaa moud niaje?