Pyaar
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 17,275
- 80,330
Akapotea jumla.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] siamin mpaka ukamtetemesha yego sio kubahatisha
Akapotea jumla.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] siamin mpaka ukamtetemesha yego sio kubahatisha
Mi pia naokota humo, uligonga kile kijaruo cha mzee jaramogi oginga odinga[emoji3] [emoji3]Hahhahaha! Ulikielewa?
HahahahahaAlitokwa povu huko na post za jana[emoji23][emoji23]
Naona niko kwa ignore list tayari
Aseeee[emoji1] [emoji1] [emoji1]Mtu mweusi popote duniani ni kiumbe cha hatari. Wangekuwa wazungu wala wasingeguswa....
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Wanasema ukiona ugomvi huko sababu kuu ni mbili tu: Msosi na malavidavi...
Nguniani. Napendaga uchachu wake kama haijaungwa karangaNsansa ni mboga ya majani ya kunde iliyochemshwa, kusokotwa na kukaushwa, inatumika sana usukumani na unyamwezini..
Mkuu uje na dadake carba, ale hashua tamu, tukumbuke zamani zile tukisakata msondo ngoma pale mundo bar mtaa wa YomboKwema kabisa mkuu.Aisee umenikumbusha mbali sana,lini iwe? Hivi mama Memi karibu na nyumba ya mzee Sawaka kwenye kivuko cha kwenda Torori yupo?
Hapo nimekupa tu list ya mechi zijazo.Hapana hizo sijawah bet huko
[emoji106][emoji106][emoji106]Subiri tutaunda tume ikimaliza uchunguzi tutakujibu
Jaki kalimwa ban jamani?Na mimi naomba ban iendelee[emoji23][emoji23][emoji23]
Jakitoo hawa yuu huko uliko
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mgumu wapi mlaini tu yule[emoji23][emoji23]
Akija hapa ataanza na yale maneno yake mara ooh
Shut it your voice is too loud[emoji23][emoji23]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] shemejio anataka pilau unataka ale harufu!!?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]shemejiiiii
Siku nyingine unashiba harufu tu bhana si lazima ushibee
[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41], ntajitahidi niibadili.Zinasimika ile observation/theory yangu ileee...