Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

852712084_235214.jpg
 
Nipo njiani naelekea kanisani kutoa ushuhuda.. Hii ni week ya Pili sasa tangu nikutane na binti mmoja hivi wa chuo cha MZUMBE natukapeana namba za simu.. Kila siku tunachati vizuri kabisa hata iwe watsapp tunatumiana na picha usiku.. Kinachonishangaza mpaka sasa week ya pili, huyu binti hajawai KUOMBA VOCHA WALA KUSEMA NIMRUSHIE TGO PESA. ''.. Imenishangaza mno.. Nawajua wadada wa vyuo tabia zao zilivyo.. Ndio maana naenda kutoa ushuhuda kanisani kuwa... NIMEKUTANA NA MALAIKA AKIWA KTK UMBO LA MWANACHUO.[emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Utasikia "beibiiii nime kuhamu jamaniii"...
Uje japo "unitie machoni"....
Au nikuje huko " my"....

Baada ya muda....
"Beibiiii nikuambie kitu?!!"...
Say yes "pulzzzz"...
Nitumie hela ya saluni elfu 30 " tu"....

Baada muda tena

"Beibiiii senkyuuuu" nimetoka "mmwaaa"...
Ila tumbo linaniuma,nije hivyo hivyo?!!...
Ni tumbo la "period" tangu jana...
 
Ni shida kwa kweli. Yaonekana umelizwa sana !!!
 
Mungu ibariki Afrika
Wabariki viongozi wake
Hekima umoja na amani
Hizi ni ngao zetu
Afrika na watu wake
Ibariki Afrika
Ibariki Afrika
Tubariki watoto wa Afrika

Mungu ibariki Tanzania
Dumisha uhuru na umoja
Wake kwa waume na watoto
Mungu ibariki
Tanzania na watu wake
Ibariki Tanzania
Ibariki Tanzania

Tubariki watoto wa Tanzania
Amen [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Back
Top Bottom