Tukio moja linaweza kuwa na tafsiri maelfu. Yawezekana uko sahihi mkuu. Kwema?Kubeba bendera tu ndiyo uzalendo? Huenda amepata shuka kujifunika usiku[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
LushotoWapi hii
Vyovyote iwavyo tuta vaibureti tu... Tena huto ndo tuzuri kutupiga kiwembe,kipindi cha joto kali tuchenza tudogo dogo tutamu sana.Andjul kwenye ubora wake shikamoooooooooooo kaka andjul,wengine tu chenza hatuna nyama maskin wee si itapigwa ngozi na mifupa hapo
Muwe mnawalipa mshahara wa kutosha, unamlipa alfu 30 kisha akikuoshee vyombo na aangalie watoto wako. Lazima akuletee za hivyo[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Aisee hata kama ndo kuupoozesha kwenye maji ila sio kwenye sufuria alafu baadae alipikie[emoji52]
[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Angeenda tu na bag lake Julius Nyerere akajifotoa..[emoji28][emoji28]Ndo kaamua kudanganya kuwa na yeye anapandaga ndege...
Sis, sioni likes zako. Nipo kwenye ignore list ama? Just checking [emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28], lazima kutokee majeraha kama umechanjwa chale.Andjul kwenye ubora wake shikamoooooooooooo kaka andjul,wengine tu chenza hatuna nyama maskin wee si itapigwa ngozi na mifupa hapo
[emoji116][emoji116][emoji116]Humu tunabet kwa likes pekee. Pesa kafungia zote bwana jiwe
Beach alikoenda kupiga picha sasa,ni maeneo yanayo fahamika sanaAngeenda tu na bag lake Julius Nyerere akajifotoa..[emoji28][emoji28]