Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

445409226_268687.jpg
 
[emoji23] [emoji23] [emoji383] [emoji384] [emoji385] [emoji386] [emoji387] [emoji389] [emoji383] [emoji384] [emoji384] [emoji385] [emoji386] [emoji387] [emoji388][emoji389]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hahahaha, Drake angekuwa mtanzania nadhani asingethubutu kutoa Video ya vile.
Lazima angeitwa pale Central kupimwa mkojo na kujieleza..Vyuma vimekaza yeye anazitoa wapi pesa!
 
Pamoja na Simba kuichapa Njombe Mji kwa mabao 2-0, kimeibua kioja baada ya mashabiki wanaodhaniwa kuwa wa Simba kukwapua taulo la kipa wa Njombe, David Kissu.

Sakata hilo lilitokea wakati mechi ya Simba na Njombe Mji ikiendelea kipindi cha pili, ambapo baadhi ya watu waliambulia mkongoto wa polisi na wengine kujikuta matatani kutokana na kuhusika kwenye ukwapuaji huo.
 
Kipa Kissu alilalamikia uamuzi wa mashabiki hao kuiba taulo lake baada ya mchezso kumalizika, huku akidai kwamba yeye hakuona kama linazuia mabao, bali lilikuwa likimsaidia kujifuta jasho.

Aliongeza kuwa hata kipa Aishi Manura wa Simba amekuwa na utamaduni wa kutumia taulo kwa ajili ya kujifuta jasho, lakini hakukutana na kadhia aliyoipata.
 
Back
Top Bottom