Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ikubi lya sili? Nyeusiiii. Ikiungwa na samli ikatiwa na tukaranga tulitosagwa basi bonge la ugali hata liwe kubwa namna gani mbele ya wanaume litateketea tu...

Hilo jina nadhani linatumika huko mijini kwa sababu huku Koromije orijino sijalisikia. Andaeitini hapo kafurahi kaona kanipata kweli kweli ...Asante kwa ufafanuzi !!!

[emoji23][emoji23][emoji23]... Napita! Shaaaaaa!
 
445603348_269396.jpg
 
Ikubi lya sili? Nyeusiiii. Ikiungwa na samli ikatiwa na tukaranga tulitosagwa basi bonge la ugali hata liwe kubwa namna gani mbele ya wanaume litateketea tu...

Hilo jina nadhani linatumika huko mijini kwa sababu huku Koromije orijino sijalisikia. Andaeitini hapo kafurahi kaona kanipata kweli kweli ...Asante kwa ufafanuzi !!!
Hahahaha! Atakuwa kafurahi si kidogo.
Hilo jina latumika mpaka huko Nyamalapa ndani kabisa, sio mjini tu.
 
Back
Top Bottom