myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Toa kama unavyopewa
AiiiToa nawe upate ut@mu....
HahahaAu mkuu
Naomba niwe kati ya wale wa mwanzo mwanzo kuufahamu ukweli !!![emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41], ntajitahidi niibadili.
Ikubi lya sili? Nyeusiiii. Ikiungwa na samli ikatiwa na tukaranga tulitosagwa basi bonge la ugali hata liwe kubwa namna gani mbele ya wanaume litateketea tu...Nsansa ni mboga ya majani ya kunde iliyochemshwa, kusokotwa na kukaushwa, inatumika sana usukumani na unyamwezini..
Halafu wee na Numby...Kimdabuo[emoji39][emoji39]
Mkoromije na mwakaleli woooiii[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]nafwaaaa