capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Amigos de buenas noches!
Asante sana. I also have a huge library of various materials (soft copy); and I always share them freely with anyone in need.Anhaaa, basi will be sending you lots of stuffs Mungu akinipa nafasi...!
Pole zake. Kijana wao Zidane kawanyuka...Kapigwa zake 3-0 safi kabisa!
Hapo kuna uwezekano mkubwa ikawa U.T.I sugu.
Amigos de buenas noches!
MD? Mambo ya afya haya unayajua jua sana....Hapo kuna uwezekano mkubwa ikawa U.T.I sugu.
U.T.I ikishakuwa sugu ukiacha zile dalili za mwanzo (Headache, maumivu ya nyonga, tumbo kwa chini, kuwashwa sehemu nyeti n.k)
Ikishakuwa sugu, imetibiwa haiponi, ndo unakuta mtu anatokwa uchafu, maziwa maziwa (sio mwingi), ila wakati wa tendo unaongezeka kwasababu inakuwa kama njia yafunguliwa.....Kwa wasiojua wanafikiri ni vile mwanamke hajafanya tendo muda mrefu (Kipururu).
******** ***** ******* ********
Hii lugha hii ilishanishinda. Yaani inavyotamkika tu haina mvuto kabisa...¡Gracias! ¡Buenas noches!
Hahahahahaa!!Linapofikia suala la kuisaka hazina, kila mwanaume ni genius. Yaani haisumbui kabisa kuifikia! [emoji1][emoji1][emoji1550][emoji1550][emoji1550]
Then we should exchange some!Asante sana. I also have a huge library of various materials (soft copy); and I always share them freely with anyone in need.
Hapana mkuu, ni elimu dunia tu.MD? Mambo ya afya haya unayajua jua sana....
That would be nice. Just let me know which ones you need and I will send them to you if they happen to be in my collection.Then we should exchange some!
Hii lugha hii ilishanishinda. Yaani inavyotamkika tu haina mvuto kabisa...
Hongera zako aisee. Ni lugha ya muhimu sana kwa US hasa CA, NM, TX, FL na hata NY...na duniani kote...Niliikamilishia
Vi credit vyangu flani hivi! [emoji1][emoji1]
Hapana mkuu, ni elimu dunia tu.
Visalamu tu.Unajua lugha nyingi sana wewe, halafu kwa undani kabisa! [emoji1]