Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

781. How do hotel key cards work?

There are many types of key card systems used around the world, but their principles are all fundamentallyvery similar. When you check in to a hotel, the hotel receptionist uses a machine to store a code onto a magnetic strip or computer chip on your key card. This code matches the one stored by your hotel room’s electronic lock, which reads the code when you insert the card, and then switches on a small motor to unlock the door to your room. To change the code for each new guest, the lock is either sent a new code by a network, or the card and lock have the same preset list of codes. They can then be instructed to use the next one in the sequence when required.
 
Sema nimeishi karibu katika jamii zote TZ ndo maana salamu na life style zao nazifahamu..
Shushushu wewe. Mi nimeanza kukuogopa [emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️
 
Hahahaha!!!
Eti shushushu..Hapana mkuu..
 
Shushushu wewe. Mi nimeanza kukuogopa [emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️

Wewe mpaka Kikoromije anakutoa knockout, nadhani hata Ki Nansio ni chakuegeshea tu! [emoji1][emoji1] Nawajua wa Nansio kadhaa walikuwa ma top officials kwenye system!
 
Kikoromije hawezi kunitoa knockout ila kidogo ni mtu wa ajabu. Anafahamu karibu lugha zote zinazozungumzwa na memba wa uzi huu; na za kimataifa. Nimeanza kuwa na wasiwasi naye aisee na naendelea kukana tena na tena kuwa ni binti. Ukizubaa huyu anaondoka nawe aisee kwenda kusikojulikana tena mchana kweupeeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28], umenifanya nicheke tu aisee..Shimba lugha zinazozungumzwa hapa (Kibantu), nimetokea tu kuzifahamu, nimeishi nao.
 
Naweza pata mwanafunzi tukashindwa kuelewana lugha,, hivyo inanibidi nitafute mbinu mbadala..nayo ni kujitahidi kufahamu hata kasalamu tu ka lugha yake..[emoji28][emoji28][emoji28].

Nakataa kwa mara nyingine tena, mimi sio me.
 
Check out this article from USA TODAY:

Active shooter at YouTube headquarters in California, police say

Injuries reported after police confirm active gunman at YouTube headquarters in California

20180403_182156.jpg
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28], umenifanya nicheke tu aisee..Shimba lugha zinazozungumzwa hapa (Kibantu), nimetokea tu kuzifahamu, nimeishi nao.
Kijita, Kisukuma, Kikerewe, Kijaluo (siyo Kibantu), Kikurya, Kinyakyusa, Kinyamwezi, Kihaya...Kihispania, Kiingereza, Kifaransa....na zinginezo kibao zote unazifahamu tena kwa undani, wewe mtu wa aina gani mkuu?
 
Kikoromije hawezi kunitoa knockout ila kidogo ni mtu wa ajabu. Anafahamu karibu lugha zote zinazozungumzwa na memba wa uzi huu; na za kimataifa. Nimeanza kuwa na wasiwasi naye aisee na naendelea kukana tena na tena kuwa ni binti. Ukizubaa huyu anaondoka nawe aisee kwenda kusikojulikana tena mchana kweupeeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hii kitu imekuwa inanitafuna akili yangu. Kuna wakati huyu mtu mwandiko wake ni wa kiume kabisaaaaa! [emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom