Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Sema nimeishi karibu katika jamii zote TZ ndo maana salamu na life style zao nazifahamu..Unajua lugha nyingi sana wewe, halafu kwa undani kabisa! [emoji1]
Sema nimeishi karibu katika jamii zote TZ ndo maana salamu na life style zao nazifahamu..
Shushushu wewe. Mi nimeanza kukuogopa [emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️Sema nimeishi karibu katika jamii zote TZ ndo maana salamu na life style zao nazifahamu..
Hahahaha!!!Shushushu wewe. Mi nimeanza kukuogopa [emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️
Shushushu wewe. Mi nimeanza kukuogopa [emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️
Kikoromije nababaisha, salamu tu.Wewe mpaka Kikoromije anakutoa knockout, nadhani hata Ki Nansio ni chakuegeshea tu! [emoji1][emoji1] Nawajua wa Nansio kadhaa walikuwa ma top officials kwenye system!
Kikoromije hawezi kunitoa knockout ila kidogo ni mtu wa ajabu. Anafahamu karibu lugha zote zinazozungumzwa na memba wa uzi huu; na za kimataifa. Nimeanza kuwa na wasiwasi naye aisee na naendelea kukana tena na tena kuwa ni binti. Ukizubaa huyu anaondoka nawe aisee kwenda kusikojulikana tena mchana kweupeeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe mpaka Kikoromije anakutoa knockout, nadhani hata Ki Nansio ni chakuegeshea tu! [emoji1][emoji1] Nawajua wa Nansio kadhaa walikuwa ma top officials kwenye system!
Kikoromije nababaisha, salamu tu.
Kinansio kwangu ndo kila kitu.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28], umenifanya nicheke tu aisee..Shimba lugha zinazozungumzwa hapa (Kibantu), nimetokea tu kuzifahamu, nimeishi nao.Kikoromije hawezi kunitoa knockout ila kidogo ni mtu wa ajabu. Anafahamu karibu lugha zote zinazozungumzwa na memba wa uzi huu; na za kimataifa. Nimeanza kuwa na wasiwasi naye aisee na naendelea kukana tena na tena kuwa ni binti. Ukizubaa huyu anaondoka nawe aisee kwenda kusikojulikana tena mchana kweupeeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naweza pata mwanafunzi tukashindwa kuelewana lugha,, hivyo inanibidi nitafute mbinu mbadala..nayo ni kujitahidi kufahamu hata kasalamu tu ka lugha yake..[emoji28][emoji28][emoji28].[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28], umenifanya nicheke tu aisee..Shimba lugha zinazozungumzwa hapa (Kibantu), nimetokea tu kuzifahamu, nimeishi nao.
Check out this article from USA TODAY:
Active shooter at YouTube headquarters in California, police say
Injuries reported after police confirm active gunman at YouTube headquarters in California
Hivi ulikuwa wamfahamu BIKU?Ni kweli! Kwani unakijua, si mchezo!
Kijita, Kisukuma, Kikerewe, Kijaluo (siyo Kibantu), Kikurya, Kinyakyusa, Kinyamwezi, Kihaya...Kihispania, Kiingereza, Kifaransa....na zinginezo kibao zote unazifahamu tena kwa undani, wewe mtu wa aina gani mkuu?[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28], umenifanya nicheke tu aisee..Shimba lugha zinazozungumzwa hapa (Kibantu), nimetokea tu kuzifahamu, nimeishi nao.
Kikoromije hawezi kunitoa knockout ila kidogo ni mtu wa ajabu. Anafahamu karibu lugha zote zinazozungumzwa na memba wa uzi huu; na za kimataifa. Nimeanza kuwa na wasiwasi naye aisee na naendelea kukana tena na tena kuwa ni binti. Ukizubaa huyu anaondoka nawe aisee kwenda kusikojulikana tena mchana kweupeeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]