Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Hongera yake kama aliolewa na kama katulia.Actually aligeuka na kuwa rafiki yangu sana. Alikuwa meneja wa tawi la benki na aliolewa na jamaa mmoja Mnigeria. Hata kwenye harusi nilialikwa. Si ajabu hata Dewayne alikuwepo. Na mpaka leo "nina contacts zake". [emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️
Mimi simuelewi siku hiziSijui ni athari za UGUMU mi wala sielewi. Zamani hakuwaga hivi. Hi izi fialesi nawadeizi....
Black Americans hawatuliagi hawa. Hata leo hii nikimuita anakuja [emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️Hongera yake kama aliolewa na kama katulia.
Ila daah[emoji23][emoji23][emoji23]acha nicheke tu
Mgonjwa wetu kapona. Naona ameanza kuzitandika. Safi sana !!!
View attachment 734181
Nishakosa ubuyu...Hata mimi nimeukosa kosa...
Jamaa alikuwa na viupele kunako,akaomba ushauri humu, mzee baba akamwambia tukutane Pale Mlangoni...Huu uzi ulikuwa unazungumzia nini?
Hivyo hivyo tu. Naendelea...Nishakosa ubuyu...
Kwema lakini shem?waendeleaje?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
We BAK wewe
Safi shemeji yangu, habari ya majukumu?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Habari shem
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Black Americans hawatuliagi hawa. Hata leo hii nikimuita anakuja [emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️
We jamaa wewe. Nimeelewa nusu nusu. Sijui ndo code za ubuyu zenyewe hizi. Aliyeelewa vizuri atafsiri...Jamaa alikuwa na viupele kunako,akaomba ushauri humu, mzee baba akamwambia tukutane Pale Mlangoni...
Ile kukutana tu mzee baba akamuomba msamaha "binti" kuwa alikuwa anatania tu.
Mlengwa akawaka kwanini kaitwa "binti"
Mzee baba nae kalipuka,mambo yakawa[emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91]
Mlengwa akasikirini shoti maongezi ya Pale Mlangoni,akayafungulia uzi....
Watu wakaanza kutiririka sasaaaa
[emoji124] [emoji124] ziliwatokeeni,zilizo gawanyika,kama ndimi za moto,zilizo jaa roho mtakatifu....
Zilitiririka...
Zilitiririkaaaa...
Zilitiririka tiririkaaaaaa...[emoji443] [emoji444] [emoji445] [emoji444] [emoji443] [emoji444] [emoji445]
Kuna uzi niliuona kule jf doc una content kama hizo,nikapita tu.Jamaa alikuwa na viupele kunako,akaomba ushauri humu, mzee baba akamwambia tukutane Pale Mlangoni...
Ile kukutana tu mzee baba akamuomba msamaha "binti" kuwa alikuwa anatania tu.
Mlengwa akawaka kwanini kaitwa "binti"
Mzee baba nae kalipuka,mambo yakawa[emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91]
Mlengwa akasikirini shoti maongezi ya Pale Mlangoni,akayafungulia uzi....
Watu wakaanza kutiririka sasaaaa
[emoji124] [emoji124] ziliwatokeeni,zilizo gawanyika,kama ndimi za moto,zilizo jaa roho mtakatifu....
Zilitiririka...
Zilitiririkaaaa...
Zilitiririka tiririkaaaaaa...[emoji443] [emoji444] [emoji445] [emoji444] [emoji443] [emoji444] [emoji445]
Mungu aendelee kukufanyia wepesi[emoji120][emoji120][emoji120]Hivyo hivyo tu. Naendelea...
Salama tu nashukuruSafi shemeji yangu, habari ya majukumu?
Watu walimwambia mapema azifute sikirini shoti mapema.Mzee baba hakuwa na kosa maana aliomba msamaha mapema sana ila dogo akakomaaKuna uzi niliuona kule jf doc una content kama hizo,nikapita tu.
Sema hizi pm hizi mmh!!
Shem bhana me nimelewa lakini nimeelewa.We jamaa wewe. Nimeelewa nusu nusu. Sijui ndo code za ubuyu zenyewe hizi. Aliyeelewa vizuri atafsiri...
Sema jamaa huwa anamasihara sana ndo kilichomponza.Watu walimwambia mapema azifute sikirini shoti mapema.Mzee baba hakuwa na kosa maana aliomba msamaha mapema sana ila dogo akakomaa
Masihara yale yalivuka mipakaSema jamaa huwa anamasihara sana ndo kilichomponza.
Ila kule watu wanakuja na shida na wako desperate kupona sasa ukiweka masihara ndo mambo yanakuwa hivi,pole yake...