Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mie nashangaa watu wanaonisakama kuwa nimechukia kukosa tuzo, sasa mimi nichukie nini wakati hata sijapeleka muvi yangu yoyote? Nashindwa kuwaelewa watu hao, halafu siwezi mchukia Wema kisa kapata tuzo kwani yeye ni nani hadi akose Tunzo? Watu wache maneno ya kusemeana," alisema Riyama.
Huyu dada napenda ambavyo huwa anavaa uhusika katika kuigiza.
 
CHAWAMITA mpaka nije niitishe kikao. Mwanachama mmoja (MCHINA) naona kala ban na sijajua sababu. Mweka hazina bado yupo na anashusha vitu deile. Mwenyekiti ndo kabisaa kazama 24/7 anawaza jinsi saksafoni lake litakavyopulizwa. Ukatibu mkuu nitamwachia Mchina kama atakubali.
Rip CHAWAMITA
 
Unajua hata tunataniana juu ya nini mkuu? Umeona tu CCM basi umepaniki. Aliomba nimwelekeze salamu za wakati wa Nyerere kwa sababu yeye siyo muhenga. Nimeshasamehe kwa sababu katika uzi huu huwa hatututakani.
Mkuu wala its not serious .. sorry sababu hua sisomi convs, i thought it was a stand alone comment, sikusudii lolote baya, jst chitchat coments.
 
Back
Top Bottom