Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

7=Watu. Ukiweza mambo yote kuanzia 0-6. Utakutana na watu. Hapa ndipo penye mafanikio yako, hapa ndipo pa kuanza kutokeza mwanga wako. Hapa ndio penye mavuno .Huwezi kufanikiwa kama huna Upendo, hutumii muda vizuri, Hutafuti taarifa, huelewi mahusiano yako,kazi yako. Huna ufahamu na huna Hekima.
 
. Carbz mambo?[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]muone


mgumu uwe na siku njema bhana Mungu aendelee kutenda[emoji120][emoji120][emoji120]
 
Kitu gani kinakutesa wewe? Huna Upendo. Ni ujinga wa kuanza kutafuta Pesa kabla ya kutafuta upendo, Kutumia muda vizuri, kutafuta maarifa, hekima, Huna Imani na Mungu. Huipendi nafsi yako, humpendi jirani yako, Huna ushirika mzuri na Mungu.
 
Back
Top Bottom