Awafojie tu hivyo vyeti vya bibi na babu.
Yaani hii Serikali ya Tanzania imeishiwa hadi kufikia sehemu ya kuanza kushindana na mtoto wa Chuo kweli ??? Kuna mambo mengi ya msingi na muhimu kufuatilia lakini wao wametingwa kushindana na mtoto mdogo kada wa BAVICHA....
Kwema mkuu, za kwako. Mkuu hapa ni utani tuKwema mkuu?
Dadake kwema?Cole wangu yule simtegi wala nini[emoji23]
Kwema kabisa mkuu,, utani ni sehemu ya furaha yangu.Kwema mkuu, za kwako. Mkuu hapa ni utani tu
Shushushu, kachero,He he he he
shu, shu, shu ndio nini
Kukomoana na kupotezeana muda tu.Yaani hii Serikali ya Tanzania imeishiwa hadi kufikia sehemu ya kuanza kushindana na mtoto wa Chuo kweli ??? Kuna mambo mengi ya msingi na muhimu kufuatilia lakini wao wametingwa kushindana na mtoto mdogo kada wa BAVICHA....
Pamoja mkuuKwema kabisa mkuu,, utani ni sehemu ya furaha yangu.
[emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]Pamoja mkuu
Haifai kabisaa, tukiendelea kuchanganya Siasa na mambo ya msingi tutachelewa sana kufika.Kukomoana na kupotezeana muda tu.
Chalii yule ni BAVICHA kumbeYaani hii Serikali ya Tanzania imeishiwa hadi kufikia sehemu ya kuanza kushindana na mtoto wa Chuo kweli ??? Kuna mambo mengi ya msingi na muhimu kufuatilia lakini wao wametingwa kushindana na mtoto mdogo kada wa BAVICHA....
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]Cole wangu yule simtegi wala nini[emoji23]