Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

4.Elewa Kwamba, Vikwazo Na Changamoto Ni Muhimu Wakati Mwingine! Kikubwa Ni Kujipa Moyo, Kuboresha Mipango Yako Kulingana Na Muda Na Mabadiliko Ya Dunia, Na La Muhimu Zaidi Ni Kujifunza Kutokana Na Vikwazo Na Changamoto Ulizozipata!
 
6.Punguza Vitu Kichwani Hasa Vile Usivyovihitaji Zaidi. Pia Punguza Idadi Ya Marafiki Wasiokuwa Na Msaada Kwako Ambao Wengi Wao Hawatakupa Msaada Wowote Zaidi Ya Kuangalia Unakosea Wapi
 
8.Tambua Kuwa Hauko Peke Yako! Hili Pengine Ndilo Zuri Kuliko Yote.. Hakuna Aliyefanikiwa Bila Kupitia Kipindi Fulani Kigumu Ambacho Pengine Kilimfanya Afikirie Kukata Tama! Never Give Up.
 
9.Kumbuka, Ukijaribu Njia Kumi Ukashindwa Kufika Unapokwenda, Ukaweza Mara Ya Kumi Na Moja, Hujapoteza Kitu Bali Umegundua Njia Kumi Zisizofanikisha! Hivyo Wakati Mwingine Hutapitia Njia Hizo.
 
Back
Top Bottom