Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,589
- 28,759
Ukuti Ukuti...
NelaNyamanoro....
IgomaNyakato
Wino unaelekea ukingoni...Likes zinaendelea
Kirumba Sokoni..Nela
NyambitiBuzuruga
Maduka tisa kwa MalisaKiloleli
Hakuna kwa kweliNani kama mama?
100%Hakuna kwa kweli
KilimahewaMaduka tisa kwa Malisa
Baba ni zaidi...Hakuna kwa kweli
Mkuu kwa ajili ya Uzi wetu pendwa hii mada muiacheHivi aliyeanza personal attack kati yake na mimi ni nani!? Kwa mamlaka gani aliyokuwa nayo humu ya kunizuia kuandika kile nikitakacho kuandika? Umeona aliniambia get help? Nipate msaada kwa lipi hasa!?
Kama kuna mtu hapendi ninachoandika humu tushindane kwa hoja siyo kutaka kunizuia kile nilichoandika au kuniambia nitafute msaada. Sihitaji msaada wowote ule.
Hayo ya awamu zilizopita yazungumziwe pia na awamu hii. Sijawahi kumzuia yeyote humu kuandika kuhusu awamu ya Baba wa Taifa au awamu yeyote ile na mimi hakuna mwenye haki ya kunizuia kuandika ya awamu hii. Ukinishambulia namna yoyote ile kutaka kuonyesha mimi nina matatizo katika kukemea maovu, udhalimu na dhuluma za awamu hii basi narudisha mapigo.
Mkuki ukiwa mchungu kwa nguruwe basi uwe mchungu pia kwa binadamu.
Pasiansi...Kilimahewa
KitangiriKirumba Sokoni..
Amina kwa kutetea watu wanyongeShukrani inauma sana Pyaar, pamoja na kuwa sijaguswa binafsi na huu udhalimu na dhuluma za kutisha zinazoendelea nchini lakini mimi binafsi siwezi kukaa kimya. Shukrani sana.
Yap[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] Amani itawale. Tuendelee kupeana likes.
WhoMpo au ndyo mme RIP
Mpaka kamasi zikutokeRaha ya msiba kulia kwa sauti