Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mkuu BAK,ni kawaida kwenye familia kupishana kauli.Muhimu ni kuwa na kawaida ya kuzimaliza haraka tofauti zinapo jitokeza ili maisha yaendelee.

Tusiya fanye maisha kuwa magumu kwa kujazana mahasira vifuani mwetu wakati hata hatufahamiani.
Jamani, tulio huku maisha yetu tunayajua wenyewe, wenzetu tupeni mbinu za kujikwamua kwenye mkwamo.Hizi siasa zisitutoe kwenye mstari wa kupendana bila kujali kabila.
BAK,SHIMBA, YEGOMASIKA,Kiben10 wa liver,ISIS,Carba,Numbisa, na wengine ambao sijawa taja mna umuhimu sana kwa maisha ya mmoja mmoja humu kama tutaamua kubadilisha mfumo wa maisha. Siasa ni maisha ya watu,lakini maisha sio siasa. Watu wananufaika kwenye siasa,maisha hayategemei siasa.
Tuishi kwa upendo na kuvumiliana,tumezoeana na tayari tumekuwa familia humu.Mimi ni muoga sana kushuhudia ugomvi,najua naweza kutoka humu ili nisishuhudie minyukano, lakini itasaidia nini? Nakuomba mkuu[emoji120] [emoji120]

Tumtegemee Mungu kwa kila jambo.
 
Ubarikiwe, japo niko kwenye hilo kundi la wengineo
 
Dah! Hebu weka mifano ya mimi kumzuia mtu humu kuandika atakacho. Mie si MOD HUMU WALA MAXENCE MELO. Siwezi kujibaraguza kama wewe. Angalia sasa hahahahaha lol! Unataka kunipangia hata hapa nisiandike!!!!! Lol! Nimejaa tele hapa nuna hadi UPASUKE na nitaandika chochote kile NIKITAKACHO!

Duh! Ungekuwa MOD wewe leo ningepigwa LIFE BAN hapa BUT THANK GOD! You’re NOBODY on this forum.

Naona umeumia sana nimeamua kupotezea ila bado wapenda ligi ee,na haraka na likes mie huo muda wa ligi nilioupoteza umetosha.

UHURU UHURU UNAIMBA WIMBO AMBAO HAUPEND WENGINE WAUIMBE WATAKA UIMBE WEWE TU,PITA KULEEE KAJIMWAGE JUKWAA LA SIASA,NOT HERE
 
Nimemind hujanitaja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…