Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,589
- 28,759
Pewa likes za kulalia...kula like mkuu
Pewa likes za kulalia...kula like mkuu
le Dada naona umeamua kunimaliza kabisaHuhuhuhu
kula like za kutosha ..billionear kijanaPewa likes za kulalia...
View attachment 735130 kama black panther was made in 90s
he he he he
anga hizo mwenyeji sana.
Uli Mujita goh??
ledada ana kicheko cha makusudi kabisa.le Dada naona umeamua kunimaliza kabisa
Mimi sina hiyana.kula like za kutosha ..billionear kijana
HelloHello
Mugango??
Murangi??
kweli hata mimi naona ..kula like mkuuMimi sina hiyana.
Ukipa like za shavu la kushoto, nakurudishia za shavu la kulia
he he he he
Haya mkuuHahaa, naishia hapo bana! [emoji1]
taaluma hiyo huwa inatolewa humu ""?Hello
Karibu kilingeni tujifunze kuroga....
inatolewa.taaluma hiyo huwa inatolewa humu ""?
hahaa ngoja nisubiri na mieinatolewa.
Ila ni mpaka warembo wote walale
Njoo tubadilishane maujanja aiseeehahaa ngoja nisubiri na mie
hahaaaa umeanza kujifnya mkongwe """Mkuu mwaka 2008 ulikuwa bado uko Chuo ???
Niko hapa rasmi nasubiri wakatiNjoo tubadilishane maujanja aiseee
hahaaaa aisee hpo hamuwezi kuwa sawa ...duhhhNajifanya Mkongwe kivipi ???
Kama Asigwa yuko sawa na mdogo wangu wa mwisho utasemaje tuko sawa ???