OkeyMe!
Goddess Isis
Asante sanaOkey
Yeah uko kama mimiKwa kweli unless ni kitu muhimu
LabdaHaaaa
Kuna shda hapo
Nadhan ulikuwa unaota ndoto ika kata
Good!Yeah uko kama mimi
Spendi saaana ku toka
Like hellTbis kinda sht hurts jaman
Ila mi huwa sivungi nakuuliza asee kina shda gan
Huhuhuhu
Usingizi umekata[emoji20] [emoji20]
HahahSubiri 05:00 ujaribu tena ledada unaweza kurudi wa nguvu. Hapo upo kwa kitanda?
Ndo hii video iliyo chukuliwa na simu?
MbaliiSubiri 05:00 ujaribu tena ledada unaweza kurudi wa nguvu. Hapo upo kwa kitanda?
Hapana mi siwezi kumpoteza mtu bila maelezo, at least i should kno why!Like hell
Mimi kuuliza ndo siwezagi etii naangalia tuu
Ndo hii video iliyo chukuliwa na simu?
Mbalii
Ndio BAK nipo kwa kitanda
Hahah
Lazma arudi huyu hajalala vya kutosha bdo
Kama mimi nadhani nalala masaa yakiwa mengi ma3 au 4 tuu.Hahahahaha ledada hutaki kuendelea kukua? Usingizi wa kutosha muhimu at least 8 hours. Ila distractions nyingi sana hivyo kutufanya wengi kutolala kwa masaa hayo manane.
Nilisikia sikia tu wacha nikatafute kwanzaMh! Sijasikia kuhusu hilo labda ndiyo hii.
Huhuhu imekula kweli BAK ngoja niangalie movie nahisi itasaidiaJigeuze geuze hadi 05:00 jifunike gubi gubi usingizi utakuja wa nguvu ila kama inabidi uamke mapema leo imekula kwako ledada