Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mimi pia Mkuu mara kuna hiki mara kile pia nataka kuangalia kwenye TV mara niko kitaa na washkaji ukijastuka masaa yameenda. Ningependa kila siku nilale saa tatu usiku lakini mara chache sana nalala saa tatu ila ukiamka unaona tofauti kubwa sana na kulala sita za usiku au zaidi.

Kama mimi nadhani nalala masaa yakiwa mengi ma3 au 4 tuu.
Ni shda
 
Mh! Sijasikia kuhusu hilo labda ndiyo hii.
Ndio yenyewe
IMG_20180407_035647_235.jpg
IMG_20180407_035721_718.jpg
IMG_20180407_035758_214.jpg
 
Hahahahaha!
Ukishakuwa kiongozi wa watu, tegemea kukosolewa, kubali changamoto..Changamoto hujenga.
Na sio kila ulisemalo lifuatwe, hata kama lina walakini, kuhoji ni haki kabisa.
Siku hizi dhana hiyo haikubaliki. Waweza jikuta maabara unapimwa mkojo[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Back
Top Bottom