Karibu sanaDoh basi sawa ila najua kusoma mazingira atii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani rafiki unataka kuoa mitala [emoji23][emoji23][emoji23]Karibu sana
Si kwa ID hizo [emoji28][emoji28]Watundu tu Linamo 🙂🙂
Zipo nyingi sana ID za vituko humu.Kuna ID humu mie nikiziona huwa nabaki kucheka tu. Kuna kunguni wa Ulaya halafu kama sikosei kuna mende msafi hahahahah.
Kula like mkuuNa humu kama fb kuomba like[emoji85][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji112]
Kwa hiyo unataka nije niwe naambiwa mbona unawahi bafuni hata bado sijakuvua viatu.Kwani rafiki unataka kuoa mitala [emoji23][emoji23][emoji23]
Haaaaaa nimeuliza tu rafiki.Kwa hiyo unataka nije niwe naambiwa mbona unawahi bafuni hata bado sijakuvua viatu.
Sawa bana Linamo usijaliHaaaaaa nimeuliza tu rafiki.