Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nenda baharini majira ya jioni saa 1 tupa mayai viza matatu halafu na wewe ingia ndani ya bahari kwa mwendo wa kujirusha. Eneo utakapotokea utaonana na Mr. Lucifer.

Ilani.
Usiwe muoga kwa kufanya tukio hili nenda na urudi salama. [emoji23] [emoji1]
ha ha ha ha
basi mkuu, inabidi uende kwa niaba yangu
kama ni nauli ya kwenda na kurudi nitakulipia na hela ya soda njiani
 
Ba7rrJnniOx.jpg
 
Back
Top Bottom