ha ha ha hahahaa kule mods wenyew huwa wanakaa nyuma ya keyboard nakufurahia yale mapicha picha
Kuna mtu hatoi like???Toa like
Comment
Nawe upate like
Bombardier [emoji23] [emoji14] [emoji119]Tuwatunze ndege zetu angani
usiniambie kuwa ..umeshachafua nguo yko ya ndaniKicheko hicho bibie...
Bombardier [emoji23] [emoji14] [emoji119]Tuwatunze ndege zetu angani
hahaa hivyo hivyo ""ha ha ha ha
kwamba wanapenda utamu uje, utamu ukate??
Mimi eeeenhree nitavunja hili gurupu la jamii failers [emoji23] [emoji14] [emoji119]Kuna mtu hatoi like???
he he he hehahaa hivyo hivyo ""
teh teh teh tehMimi eeeenhree nitavunja hili gurupu la jamii failers [emoji23] [emoji14] [emoji119]
[emoji87] unaenda dar free market kufanya shopping nzito....Nitarudi baadae
ewaaaa.....kule acha kabisaa..japo kuwa mimi sio muhuzuriji mzuri ""lakini pako poa kwa wadau""he he he he
linaitwa jukwaa pendwa