Tubarikiwe sote AsigwaOk
Ok
nimekumbuka
Ubarikiwe sana
hahaa nikweli ..ukiwa kule unakuwa ni Jamii ya kambale wote tuna ndevuha ha ha ha
safi sana aiseeee
huna nakuona ona, sema ndio hivyo tena kule hakunaga kuleta kujuana
tunafanyaga tu yaliyotupeleka kule
Nataka wana jamii forum wajue kuwa sisi tuna bifu kali mpaka ifike tuonekane kwenye magazeti na runingani..... [emoji16] [emoji51] [emoji91] [emoji91] [emoji23]Bifu 🙁🙁🙁🙁🙁😡
he he he heNice weekend wapendwaView attachment 737051
ha ha ha haNenda baharini majira ya jioni saa 1 tupa mayai viza matatu halafu na wewe ingia ndani ya bahari kwa mwendo wa kujirusha. Eneo utakapotokea utaonana na Mr. Lucifer.
Ilani.
Usiwe muoga kwa kufanya tukio hili nenda na urudi salama. [emoji23] [emoji1]
Hili Bifu litakuwa sio la kispot spot wallahiNataka wana jamii forum wajue kuwa sisi tuna bifu kali mpaka ifike tuonekane kwenye magazeti na runingani..... [emoji16] [emoji51] [emoji91] [emoji91] [emoji23]
Huhuhuhuhuhe he he he
anafanana na baba mwenye nyumba wangu
ha ha ha hahahaa nikweli ..ukiwa kule unakuwa ni Jamii ya kambale wote tuna ndevu
[emoji23] [emoji119] [emoji14]he he he he
mzee wa kuchangamkia fursa
Kicheko hicho bibie...Huhuhuhuhu
Hivi kweli wewe billionea niaze kujisogeza hapoha ha ha ha
kule ukimshobokea mtu anakupa tusi la nguoni na hakuna kulalamika kwa mod.
Me nimetoka huko asubuhi hii kulikuwa kuna kikao jana usiku. [emoji23] [emoji119] [emoji14]ha ha ha ha
basi mkuu, inabidi uende kwa niaba yangu
kama ni nauli ya kwenda na kurudi nitakulipia na hela ya soda njiani
Nashindwa kukibadilisha etiiKicheko hicho bibie...
hahaa kule mods wenyew huwa wanakaa nyuma ya keyboard nakufurahia yale mapicha pichaha ha ha ha
kule ukimshobokea mtu anakupa tusi la nguoni na hakuna kulalamika kwa mod.
[emoji23] [emoji119] [emoji14]Hili Bifu litakuwa sio la kispot spot wallahi
Milele aminaTubarikiwe sote Asigwa