Hapana bwanaa....ha ha ha ha
kwamba leo jasiri anataka kuacha asili??
Mkuu Malcom na wewe ni mwenzangu wa rohoni??Kule kwenye Upako...!
kweli ..hata mimi1.Kwa siku ya jumatatu, Asilimia 60 ya watu hupata tabasamu lao la kwanza saa tano asubuhi (Kabla ya hapo kila mtu huwa amenuna!)
Heshima yako S...KUkaribie maana kuna vutu vipya tumeviweka bwana....
watu wenye umri wa miaka 35 mpaka 50 wako kwenye hatari kubwa sana kupata matatizo ya moyo ikiwemo kiharusi siku za Jumatatu!
he he he heHapana bwanaa....
Mimi nilikuwa mtakatifu sana (Mfano wa kuigwa)
Tpe muda mkuukweli ..hata mimi
Mkuu Pyaar ikirudie na wewe,...Heshima yako S...K
Huhuhuhu nitashusha baadaehe he he he
sasa mbona hujanijibu???
Huhuhuhuhukwa kuwa hutahama
basi na mimi sihami ng'o...
Pyaar[emoji112]Njema kabisa, hofu kwako
Kabla sijakata kulia?Kwa komba, karibu na njia ya kuelekea Bwiru Press