MhDah
basi comment yako hii imenipa mwanga wa maswali makubwa mengi sana
Asantee wacha nije sasa hivi[emoji125] [emoji125]Ukaribie maana kuna vutu vipya tumeviweka bwana....
mbona mugunyo???
Hahahaha, kwanini nifute sasa ??he he he he
maneno ya JF hayafutikagi mkuu
usije ukatafuta kuyaedit baadaye
Helo mamiePyaar[emoji112]
YapKabla sijakata kulia?
Lakini ulikuwa kiungo muhimu sanaHahahaha, kwanini nifute sasa ??
Mimi walinizoea sana aisee japo sasa ndiyo nilikuwa napenda sana Pesa kuliko wao.
Hahahahahha! Si utaniuza hadi mie?Yap
Hapo hapo, utakutana na mama mmoja muuza machungwa
we muulizie namtafuta Bilionea muuza chenchi kwa makondakta wa Dala dala, atakuelekeza
Hayo maswali mengimbona mugunyo???
he he he heHahahahahha! Si utaniuza hadi mie?
MamboHelo mamie
usihofuHayo maswali mengi
Kiungo nilikuwa kweli kiungo...Lakini ulikuwa kiungo muhimu sana
Nadia huwa wanakuwa wazuri alwaysKiungo nilikuwa kweli kiungo...
Lazima uzoeane na mimi ili kupata Access kwa totoz VIP......
Daah nakumbuka kuna totoz moja tu inatwa NADIA ilikuwa ni ya kipakistani ndiyo ilikuwa inanichanganya.!
huyo hawezi kukosa pote pote ...sehemu zote hizo mbili anazohe he he he
unaaamisha pa kulala au pa kuwalaza???
he he he hehuyo hawezi kukosa pote pote ...sehemu zote hizo mbili anazo
Aisee sijawahi kutafuniwa kabisa kwenye kazi nyeti kama hizi...Nadia huwa wanakuwa wazuri always
uliipata, au na wewe uliishia kutafuta kiungo mwingine akusaidie tutani?
Kuna likitabu fulani linazungumzia Cryptocurrency na Forex wamezungumzia..Asee hivi ushawahi kufanya forex??
Una vitabu vyovyote vizuri hapo??
hahaaahe he he he
amekusikia, ngoja aje na kanusho lake hapa