Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kabisa hilo la kutoshinda kwao halafu kumdharau Clinton. Pamoja na sakata lake la Monica lakini alikuwa bado very popular hasa kwa Dems. Kutomtumia kwenye kampeni kuliwaudhi wengi hivyo hawakupiga kura.
Ujue ishue ya Monica ilimchanganya badaka ya kukazia kwenye mafanikio yao ya kiuchumi yeye kakazinia ku play Mr Right, Mr Familly guy. Etc kwa mafanikio waliyo yapata miaka nane ile he had to win on them.
Stratergists wake wali calculate vibya
 
Obama was good for himself not for the party.
Soma kitabu cha Donna Brazile. Ameandika vzuri sana yule maza.

2020 wanaweza wakashinda, wa muweke mtu kama Joe Biden.
Ila Uchumi ukiwa mzuri kama sasa. Bado Trump could steal it.
Japo mtu kama Trump akipata two terms basi Dems wafute chama hakina maana. He is beatable.
Pengine safari hii watamchukulia siriazi. Naona bado wanaamini kuwa alishinda kwa msaada wa Warusi. Ambacho hawajui kuwa siasa ni siasa. Unatafuta ushindi kwa njia yo yote ile. Sijui wanategemea Mueller atapelekea ushindi wa Trump kutenguliwa. Hata sijui strategies zao ni zipi.

Trump uchumi ukiendelea kuimarika itakuwa kazi kumshinda. Sema naye hii ishu ya tarrifs na Wachina inaweza ikamtokea puani. Wachina wajanja sana. Wanawekea tarrifs mazao na products zinazozalishwa katika red states kwa wapiga kura wake. Pork huko Iowa, Ginseng Wisconsin na mazao mengine ambayo yataathiri sana wapiga kura wake kwa sababu China ndiyo mnunuzi mkuu. Washauri wake wameshamuonya kuwa hii vita na Wachina kibiashara yaweza kubackfire vibaya sana politically...
 
Back
Top Bottom