mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
HahahahahaHahahaha, tutakuja kuuziwa hadi mbuzi kwenye gunia.
Juzi Dave Chappele kasema alicheza muziki na Tranny masaa kama mawili akijua ni mwanamke kumbe njemba bwana.!
HahahahahaHahahaha, tutakuja kuuziwa hadi mbuzi kwenye gunia.
Juzi Dave Chappele kasema alicheza muziki na Tranny masaa kama mawili akijua ni mwanamke kumbe njemba bwana.!
[emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji27] [emoji17] east life
Yap Numbisa Hawa ni ndugu zangu wa damu kabisa walikuwa ni wadogo zangu toka nitoke sipendi kurudia hili naumia sanaNaona jamaa alihisi mtoto sio wake,mtoto miezi mitatu hivi mzurii,piamwanamke alileta ndugu yake wa kike kumsaidia malezi ila ndo hivyo tena wakauliwa wote.
Mzee wa liver aliweka picha zao hapa wazuri kweli
Mkuu acha kabisaJamani jamaniii!!!
Kweli kabisaKuna watu wana damu kali pyeee. View attachment 736177
Likes kwa likesUzi maalumu wa kupeana like ""
huyo Jamaa mbona kama USO wake umemvimba ""?Kweli kabisa