Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Asante

Umenikaribisha nini?
Karibu chakula cha usiku tujumuike pamoja
Tiba+uzazi+wanawake+tu.jpg
 
By 2010 nilikuwa nisha hamia R,
Sikuwa na kubaliana na sera zake but i can admit kuwa Obama was intelligent, cool guy and one of the greatest Speakers of our times.

2012 Romney aliniangusha.
Katika foreign policy he was very weak. Blunders kibao...

Na Democrats sijui wakoje. Hata sasa naona hawajajipanga sawa sawa. Huwezi jua wanataka nini. Very poor leadership. Hata sijui ni nani atapambana na kumshinda Trump uchaguzi ujao. Very frustrating !!!
 
Back
Top Bottom