Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tatizo ni Serikali yao inavyoendeshwa labda kwa ugeni ile miaka miwili ya kwanza ambapo Dems walikuwa na majority ndani ya senate na congress hawaikutumia vizuri na kibao kilivyogeuka majority kuchukuliwa na Reps basi priority yao kubwa ilikuwa ni kumkwamisha ili awe Rais wa term moja. Mimi kwa maoni yangu pamoja na mazingira magumu aliyoyakuta ikiwemo kuanguka kwa uchumi na Reps kutompa ushirikiano alijitahidi sana na hatimaye kuweza kuimarisha uchumi na kucreate millions of ajira.
By 2010 nilikuwa nisha hamia R,
Sikuwa na kubaliana na sera zake but i can admit kuwa Obama was intelligent, cool guy and one of the greatest Speakers of our times.

2012 Romney aliniangusha.
 
Back
Top Bottom