Seeing you, i feel gud now.[emoji4] um gud and u?
Beautiful in white- westlife
Shilole huyu
Alipokuwa hajanenepeana futu futu Inaonekana alikuwa bomba sana...Halaf ana sura nzuir kishenz huyu
Tatizo la kiba anavimba kichwa ndiyo maana platnumz anamshinda....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji4] [emoji4]Seeing you, i feel gud now.
I need you-westlife
HahahahaAlipokuwa hajanenepeana futu futu Inaonekana alikuwa bomba sana...
Na sijui inawezekanaje mtu unakula hivi na kunenepa mpaka unafikia kiwango hiki. Yaani unakula mpaka unakaribia kufa - literally...
View attachment 737399