myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Likes zinaendelea
Huyu alikuwa anadanga akahongwa sana akala akanenepa. Baada ya miaka 10 ijayo mademu zetu wa bongo watakuwa hivi. [emoji1]Alipokuwa hajanenepeana futu futu Inaonekana alikuwa bomba sana...
Na sijui inawezekanaje mtu unakula hivi na kunenepa mpaka unafikia kiwango hiki. Yaani unakula mpaka unakaribia kufa - literally...
View attachment 737399
Likes kama kawaida
Hunishindi mimi asee
Huu uchaguzi nilimkubali sana Obama
He was my Icon.
Though upendo ulidumu muda mfupi mnoo.
But i loved the man.
[emoji4] [emoji4] [emoji4][emoji4] [emoji4]
Flying without wings - westlife
Alikuwa na site yake na alikuwa na wafuasi wengi kweli kweli. Ila waliamua kujichangisha ili afanye bypass surgery. Sijui walifika wapi...Hahahaha
Anakula mpaka ana karibia kufa
I would have taken her na unene qake
She is cute
MmmmShilole huyu
Leo umeshindia humu weeee...!! Hata kuja kunitembelea hutaki. [emoji34] [emoji16] [emoji91] [emoji91][emoji4] [emoji4]
Flying without wings - westlife
George W Bush Vs Albert Gore
2000 US Presidential Election
Bee Mr wenuLedada
[emoji5] [emoji5][emoji4] [emoji4] [emoji4]
Lost in You-Westlife
Hata mimi ningemchangia kwa masharti nafuu.Alikuwa na site yake na alikuwa na wafuasi wengi kweli kweli. Ila waliamua kujichangisha ili afanye bypass surgery. Sijui walifika wapi...
View attachment 737406
Kufikia hivi nayo siyo kazi rahisi. Inabidi uwe na watu wa kukupikia na kukushindilia mapocho pocho ya kila aina almost 24/7: Pizza, donuts, hamburgers, fried foods....Huyu alikuwa anadanga akahongwa sana akala akanenepa. Baada ya miaka 10 ijayo mademu zetu wa bongo watakuwa hivi. [emoji1]