Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Naam na Reps walizikataa kura 500K za Al Gore kule Florida na hivyo kummaliza.

Ujue ishue ya Monica ilimchanganya badaka ya kukazia kwenye mafanikio yao ya kiuchumi yeye kakazinia ku play Mr Right, Mr Familly guy. Etc kwa mafanikio waliyo yapata miaka nane ile he had to win on them.
Stratergists wake wali calculate vibya
 
Mtoto sura.
Mkuu niaje? Huku ni kwema Mungu anasaidia
Hata mimi naendelea vyema. Shemeji Carba hajambo? Mgumu Cole je? Kanafunzi ketu katukutu kaYego? Na mwalimu wa kenyewe je?

Leo naona umebadili kauli badala ya misambwanda imekuwa sura. Umeachia uenyekiti wa CHAWAMITA ama? Vere konfyuzingi...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Umshawishi jakito akuje na kifekero[emoji1] [emoji125]

Sijawahi kupigwa ban aisee, huhuhuhuhu kumbee ila wewe ni msindikizaji tu
Kifekero - id nyingine?

Ningekuwa na njia mbadala ya kumfikia ingesaidia. Bila shaka anasoma haya na kama anatusikia basi atafute hicho kifekero aje fasta...

Mimi ni mshehereshaji tu...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tatizo ni kama nahisi Dems watajitokeza wagombea hata 40 wanafika. Yaan kila mtu anaona 2020 ndio time ya ku ukwaa urais.

Kuhudu Trade yaan China is Bullying USA they need to something i dont know kuhusu tariffs but wanatakiwa wa act in one way or another
 
Huko ni ugumu mwanzo mwisho. Hakuna kutongoza wala kutongozwa na hakuna kupigwa mizinga ya aina yo yote ile. Kwa maelezo zaidi wasiliana na mwanzilishi wake na Katibu Mkuu Cole
haha hahaa huko noma.....chaaaaa kwahiyo nikijiunga huko ledada nitaishia kumla kwa macho tu """ agghhh ngoja kwanza nimalizie project yngu kwanza ...nisije kufa bila kufaidi mema ya nchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…