Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

18f9016f-0739-496f-a837-170008f592df.jpg
 
Mr. Alex nyirenda

Mountain climber early in 1961 December when Tanzania own his independence day....
This man climb a mountain Kilimanjaro in 03 December 1961 and he reached on top mountain Kilimanjaro in 09 December 1961, mid night, he put on a Tanzania coloured flag on top of mountain Kilimanjaro.

[emoji23] [emoji13] [emoji119] [emoji119]
 
Hata mimi naendelea vyema. Shemeji Carba hajambo? Mgumu Cole je? Kanafunzi ketu katukutu kaYego? Na mwalimu wa kenyewe je?

Leo naona umebadili kauli badala ya misambwanda imekuwa sura. Umeachia uenyekiti wa CHAWAMITA ama? Vere konfyuzingi...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hizi salamu za kupitia kwa hizi[emoji23][emoji23]
Sijambo nashukuru,sijui wewe.
Nimekumiss maana jana sikukuona humu
 
Chama kimekufa? Yaani kuondoka hapa siku 2 tu na chama chetu kipya hooi bin taaban? Cole kaangukia wapi? Na wewe ndo umekwenda kwa Yego? Yego na mwalimu wake hawakuelewana?
Mimi sijaenda kwa yego ananipeleka dinner tu.
Cole atakuwa hoi kwa dozi ya jana aliyopewa[emoji23][emoji23]
Yegomasika nakusubiri hapa
 
Hizi salamu za kupitia kwa hizi[emoji23][emoji23]
Sijambo nashukuru,sijui wewe.
Nimekumiss maana jana sikukuona humu
Mi nipo bana najikongoja. Salamu zikipita huko najua zitafika tu kwa sababu mleta salamu namwamini sana. Hata mimi nilikumiss mno. Ikitokea JF ikafutwa maisha yatakuwa magumu...
 
Cheki hapa.

Umekutana na Shangazi yako barabarani yupo na mtu pembeni ukamsalimia mambo...!! Shangazi ana gomba msalimie kwa adabu huyu ni mkubwa kwako ni ndugu yako.

Cheki undugu wa kibongo ulivyo....

Shangazi anakuambia huyu ni..... Mama yako, bibi yake rafiki yake shemeji yake alioa binamu wake na mjukuu wake wa nne mtoto wake mzaa baba ake na huyu hapa...( ndiyo huyo mtu wa pembeni ) umeambiwa umsalimie.

[emoji23] [emoji23] [emoji13] [emoji91] [emoji91] [emoji91] usikatae undugu unaweza kuta we ni mnigeria....
 
Back
Top Bottom