myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Likes za usiku
Hahahaha.hii stratergy nime ipenda
Weeee nilikwambiaje jana[emoji23][emoji23]Basi nitawacall hao watu wadelive hii dinner Kwa hausi yako! Nambie wataka kula nini? [emoji1][emoji1]
Sanaaaa maana sijui nitachekea wapi kwakweli na wapendwa wangu nitawaonea wapiMi nipo bana najikongoja. Salamu zikipita huko najua zitafika tu kwa sababu mleta salamu namwamini sana. Hata mimi nilikumiss mno. Ikitokea JF ikafutwa maisha yatakuwa magumu...
Mwenyekiti yuko wapi?Chama kife nani kasema? CHACHAWA is still alive and kicking, Bro! [emoji23][emoji23]