Mr wenu
JF-Expert Member
- Apr 4, 2017
- 1,088
- 1,667
Me napenda kufanya kazi katika mazingira tulivu.Unapenda Kufanya kazi katika mazingira ya aina gani?
Me napenda kufanya kazi katika mazingira tulivu.Unapenda Kufanya kazi katika mazingira ya aina gani?
[emoji23][emoji23][emoji23]if you die you die[emoji124] [emoji124] [emoji124] muhimu heshima ya familia ipatikane.Kifo cha kishujaa...
hahaa baki nao Mwenyew aisee
Mbona nipo?tunapishana tu.[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
Ulikuwa wap?
Hata mimi naendelea vyema. Shemeji Carba hajambo? Mgumu Cole je? Kanafunzi ketu katukutu kaYego? Na mwalimu wa kenyewe je?
Leo naona umebadili kauli badala ya misambwanda imekuwa sura. Umeachia uenyekiti wa CHAWAMITA ama? Vere konfyuzingi...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Man unitedMan city au man united?
[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]Mbona nipo?tunapishana tu.
Mambo niaje
usiku mnapeana nini mkuu??Usiku wa kupeana
Nipe direction ya hapo nataka kuja[emoji39][emoji39]
duuuhhh ""Mtaondoka wote nitabaki na chama langu kama alivyo John Momose Cheyo au Augostino Lyatonga Mrema.
View attachment 737509
Mungu aendelee kuwa nawe daima
Weseeeee(in shimba's voice)[emoji124] [emoji124]Mtaondoka wote nitabaki na chama langu kama alivyo John Momose Cheyo au Augostino Lyatonga Mrema.
View attachment 737509
Mungu aendelee kuwa nawe daima
"Ufunuo"... Macho yenyewe hayajui yanataka yaone nini ili yaridhike[emoji23] [emoji23] [emoji23]Wese linaning'inia hilo. Wataka nini tena?
hahahaa mkuu ..huyo Jamaa ameshafariki aiseee"""Johan Cruyff
Mkongwe Huyu Wa Uholanzi Pengine Ndiye Anaeshikilia Rekodi Ya Mwanasoka Aliyevuta Zaidi Sigara (Ukiacha Wachezaji Wa Kibongo) Aliyekuwa Akivuta Sigara 20 Kwa Siku Akiwa Mapumzikoni. Kwa Sasa Ameacha Baada Ya Kuugua Sana
Tunapishana ila nipo.[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
Sijakuona toka juzi
Dakika 90.Man united