Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Jamaniiiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hahaa baki nao Mwenyew aisee
Jamaniiiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hahaa baki nao Mwenyew aisee
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yaani siku unazikwa na ng'ombe dume linachinjwa kuenzi juhudi za mwana ukoo.[emoji23][emoji23][emoji23]if you die you die
Sisi wanyaki hatushindwi kitu....
Habari ya leo shem
[emoji16] [emoji16] [emoji16] sawa mkuuSiyo mmarekani ni mtu wa Australia pia umekosea kuandika anaitwa IGGY AZALEA .... [emoji23] [emoji13] [emoji119] [emoji119]
Backup na ugumu huu wapi na wapi? Ila nimeambiwa chama cha Wagumu kimekufa. Ngoja nihakikishe kwanza [emoji23][emoji23][emoji23]Sikuwa na maana hiyo shem darling[emoji23][emoji23][emoji23]
Ila niko hapa kama backup[emoji41][emoji41][emoji41]
Numbisa
A good driver is made on rough road..kwa sasa nimekomaa na kumature in more professionalism way zaidi kuliko awali.Mkuu unapatikana Dar au wapi? May nataka nikutafute unipe uzoefu wako ulioupata. Niliona uzi wako na kidogo nilishangaa kwa sababu nilidhani kijana Ontario alikuwa legit japo tangu mwanzo nilishtushwa na lugha aliyokuwa anaitumia kutangaza hiyo biashara yake. Lugha ilikuwa tamu na ya kuvutia mno. Pole lakini naamini umekomaa zaidi.
"Pa kujishikiria" ili kugeini momentamu umepaona?Weseeeee(in shimba's voice)[emoji124] [emoji124]
[emoji16] [emoji16] hyo offer hapana mkuu
Sawa mkuu. Hata kama ukinitoza pesa ni sawa tu.A good driver is made on rough road..kwa sasa nimekomaa na kumature in more professionalism way zaidi kuliko awali.
Something that doesn't kill you it can only makes you much stronger.
Siko Dar kwa sasa ila nikirudi nitakucheck tukae Kama kamati mkuu.
Regards.
Humble.
[emoji4] [emoji4]
Jamaniii...Hufariki mapema zaidi kuliko watu wanaotumia mkono wa kulia (miaka 9-10 kabla)