Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Nipo. Majukumu na heka heka. Kutojibu siyo kwamba hujali bali bize unashusha madondoo. Hayo mambo ya usaili nimeyapenda. Inabidi vijana wetu wafundishwe hizi protokali za usaili hasa katika kazi za Kimataifa. Ukichanganya na weledi kidogo wa lugha vijana wengi wa Kibongo wanapwaya sana wakilinganishwa na wenzao wa Kenya, Uganda, Nigeria na kwingineko.Kwann nisijibu bagesh,sema nipo page za mbali napitia ubuyu kama kuna sehemu sijajibu ntajibu tu.
Kwema ,za kupotea siku mbili tatu