Iceman 3D
JF-Expert Member
- Sep 3, 2016
- 20,611
- 67,118
SidhaniMwanamke mwenye mafanikio zaidi duniani Oprah Wilfrey
SidhaniMwanamke mwenye mafanikio zaidi duniani Oprah Wilfrey
Mashoto nimekudaka[emoji23][emoji23][emoji23]Jamaniii...
Bageshi kwema?8.Asilimia 80 ya watu hawa huwa jinsia ya kiume.
Hudhan nini mkuu?ni mashotoSidhani
NdiooKifekero - id nyingine?
Ningekuwa na njia mbadala ya kumfikia ingesaidia. Bila shaka anasoma haya na kama anatusikia basi atafute hicho kifekero aje fasta...
Mimi ni mshehereshaji tu...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbuzi kagoma na hii drought hapo tako moja na nusu tu wazee wa kiherehere haooo [emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️"Pa kujishikiria" ili kugeini momentamu umepaona?
Kwann nisijibu bagesh,sema nipo page za mbali napitia ubuyu kama kuna sehemu sijajibu ntajibu tu.Bageshi kwema?
Nakusalimia tu. Hata usipojibu sawa. Nimefurahi kukuona [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Mmmm
Huyu hadi chooni huwa anavuta.Jack Wilshire
Alikumbwa na vikwazo vikubwa baada ya kuonekana akivuta sigara nje ya klabu moja ya usiku na kumuudhi sana meneja wake Arsene Wenger . Japo huyohuyo wenger aliibuka na kumsajili mvutaji mwingine Mesut ozil
Kwa nini mnaogopa lakini? We ni mtu wa tatu sasa. Wanaume wa Dar ama?[emoji16] [emoji16] hyo offer hapana mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbuzi kagoma na hii drought hapo tako moja na nusu tu wazee wa kiherehere haooo [emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️
Tajiri wa Dunia Bill Gates
Duh aiseeeHuyu hadi chooni huwa anavuta
Haiya ila bado tajiri wajamenHuyu ameshapigwa bao na, Jeff Bezos wa Amazon!
Hajaeleza ni mafanikio ya aina gani. Pesa + influence labda. Pesa pekee kuna wengi wanamzidi...Sidhani
Jizazi. Redi hendedi. Sijui kwa nini nilijisahau !!!Mashoto nimekudaka[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji134] [emoji134] [emoji134] mfwiileee....Hufariki mapema zaidi kuliko watu wanaotumia mkono wa kulia (miaka 9-10 kabla)
I surely won't charge you...Nina njaa but still bado naheshimu utu na heshima.Sawa mkuu. Hata kama ukinitoza pesa ni sawa tu.
Haiya ila bado tajiri wajamen
[emoji16] [emoji16] hapana mkuu,, mi sio mwanaume wa darKwa nini mnaogopa lakini? We ni mtu wa tatu sasa. Wanaume wa Dar ama?