Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nipo mkuu...japo kwa kuibia ibia. Kwema kwako? Nini kipya kinaendelea hapa? Kale kanafunzi kako kanasemaje?
Huku kwema kabisa. Wagumu si wagumu tena, hoi bin taabani, tushawalevya.
Kanafunzi kamepata mkufunzi mpya, nami nimepata pumziko la moyo kwa anayejiita.....
Karibu tena. We love you.
 
Back
Top Bottom