Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
Ewaaaaa ka wine ka kushushia itapendeza zaidi[emoji1][emoji1]
Kwema?
Safi kabisa, niaje? Namtafuta Numbisa, umemuona humu leo? [emoji1]
Ewaaaaa ka wine ka kushushia itapendeza zaidi[emoji1][emoji1]
Kwema?
Man city au man united?
Duh hili wese dah !!!Mtaondoka wote nitabaki na chama langu kama alivyo John Momose Cheyo au Augostino Lyatonga Mrema.
View attachment 737509
Mungu aendelee kuwa nawe daima
Kaoneeee !!!Weseeeee(in shimba's voice)[emoji124] [emoji124]
Haya nilikumiss basiTunapishana ila nipo.
Mkuu unapatikana Dar au wapi? May nataka nikutafute unipe uzoefu wako ulioupata. Niliona uzi wako na kidogo nilishangaa kwa sababu nilidhani kijana Ontario alikuwa legit japo tangu mwanzo nilishtushwa na lugha aliyokuwa anaitumia kutangaza hiyo biashara yake. Lugha ilikuwa tamu na ya kuvutia mno. Pole lakini naamini umekomaa zaidi.Hebu nipeni likes huku for no reason maana nimetapeliwa na Ontario for no reason. Ahahaha