Morinyo ndio wa kumlaumuHuyu Jamaa smallng simkubali kabisa
Sijui....Kazi ya ukocha ni rahisi sana
If i let you go- westlifeFly me to the moon - westlife
Kiungo wa klabu ya Manchester City Kevin de Bruyne mwenye umri wa miaka 26, anasema "sauti mara zote imekuwa juu" wakati wanacheza muziki wao na sio "kumkejeli yeyote". Kocha wa Manchester United Jose Mourinho alilalamika kuhusu sauti ya juu ya muziki kutoka kwenye vyuma vyao vya kubadilishia nguo wakati walipoifunga timu yake mwanzoni mwa msimu. (Mirror).

First half ndoioooooooooo inayeyaaa mbili bilaaaaaa khakhakhaaaaaaa kama Nawaona upande wa pili wavonunaaaa[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Cc Smart911
Kiungo wa klabu ya Manchester City Kevin de Bruyne mwenye umri wa miaka 26, anasema "sauti mara zote imekuwa juu" wakati wanacheza muziki wao na sio "kumkejeli yeyote". Kocha wa Manchester United Jose Mourinho alilalamika kuhusu sauti ya juu ya muziki kutoka kwenye vyuma vyao vya kubadilishia nguo wakati walipoifunga timu yake mwanzoni mwa msimu. (Mirror).
Kiungo wa klabu ya Manchester City Kevin de Bruyne mwenye umri wa miaka 26, anasema "sauti mara zote imekuwa juu" wakati wanacheza muziki wao na sio "kumkejeli yeyote". Kocha wa Manchester United Jose Mourinho alilalamika kuhusu sauti ya juu ya muziki kutoka kwenye vyuma vyao vya kubadilishia nguo wakati walipoifunga timu yake mwanzoni mwa msimu. (Mirror).
HahahaHahahaha
Huu ni ujinga Mou inatakiwa kila tunavo anza msimu awe ana mpa Guadiola point 6 tu