Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Mwanaume unacuddle na bae hadi analala alafu unachukua simu yako unachat na the love of your life
*******************
Men......
*******************
Men......
Kocha wa klabu ya Nice ya Ufaransa Lucien Favre anatajwa kuwa kwenye orodha ya walimu wanaotajwa kuwa huenda wakarithi nafasi ya kocha wa Arsenal, Arsene Wenger ifikapo mwishoni mwa msimu huu wa ligi, gazeti la L'Equipe la Ufaransa limeripoti.
Thank you-westlifeI'll see you again - westlife
Nimehisi kitu....Umehis nini Mkuu
Kocha wa klabu ya Nice ya Ufaransa Lucien Favre anatajwa kuwa kwenye orodha ya walimu wanaotajwa kuwa huenda wakarithi nafasi ya kocha wa Arsenal, Arsene Wenger ifikapo mwishoni mwa msimu huu wa ligi, gazeti la L'Equipe la Ufaransa limeripoti.
Niko poa,,, weekend vpSafi mkuu uko poa?
Nipoooo GGMULeo. Leo ndio Leo
Wapi numbisa wa ManU??
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ukiona phone yako ina overheat ukichat kindly....
Enda kwa gallery futa zile pics zote za wasee wamevaa sweater au wasichana wanene
Ndioo ila nina mpango wa kuhamana ww United?