Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kiungo wa klabu ya Manchester City Kevin de Bruyne mwenye umri wa miaka 26, anasema "sauti mara zote imekuwa juu" wakati wanacheza muziki wao na sio "kumkejeli yeyote". Kocha wa Manchester United Jose Mourinho alilalamika kuhusu sauti ya juu ya muziki kutoka kwenye vyuma vyao vya kubadilishia nguo wakati walipoifunga timu yake mwanzoni mwa msimu. (Mirror).
 
 
 
 
Hahahahahahaha lol! Shauri yako hukawii kuitwa mchochezi na ile Nissan nyeupe ya watu wasiojulikana kuanza kukufuatilia.

First half ndoioooooooooo inayeyaaa mbili bilaaaaaa khakhakhaaaaaaa kama Nawaona upande wa pili wavonunaaaa[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji23] [emoji23] [emoji23]




Cc Smart911
 
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…