Kiungo wa klabu ya Manchester City Kevin de Bruyne mwenye umri wa miaka 26, anasema "sauti mara zote imekuwa juu" wakati wanacheza muziki wao na sio "kumkejeli yeyote". Kocha wa Manchester United Jose Mourinho alilalamika kuhusu sauti ya juu ya muziki kutoka kwenye vyuma vyao vya kubadilishia nguo wakati walipoifunga timu yake mwanzoni mwa msimu. (Mirror).
Man city wanaongoza kwa bao 2.

Akichukua hataondoka na nnavo mjua baba yule lazma atachukua tuu.Hata hilo kombe mbuzi Mie nina wasiwasi nalo. Furaha yangu itakuja tu wakiamua kumfungisha virago Babu
Wenger ameshaboa vya kutosha sasa.
Ndio anazingua sana huyu smalling 2013 alifanya the same mistake na kampani akafunga leo tena ni uzwazwa huuMorinyo ndio wa kumlaumu
Mabeki wengine wote wazima kwa nn acheze smalling
Yaani uhitaji kujua sanaSijui....
Sawa mkuu..Yaani uhitaji kujua sana
Huhuhuhu[emoji16] [emoji16]
Hamia Asenali mkuu
Mshambuliaji wa Arsenal Henrikh Mkhitaryan, 29, anaweza kuwa nje ya uwanja msimu mzima baada ya kupata jeraha la goti wakati timu yake ilipocheza na CSKA Moscow siku ya Alhamisi. (Telegraph).
Wanaongoza kwa magonjwa ya moyo. Unafikiri Wenga ana raha kweli?Kazi ya ukocha ni rahisi sana
Sio kweli mkuu timu tu ni ya hovyoHahaha
Aisee,, Mou hamuwezi Pep,,
Mashabiki wa City wanamuita Mou "The Finished One"
Mshambuliaji wa Arsenal Henrikh Mkhitaryan, 29, anaweza kuwa nje ya uwanja msimu mzima baada ya kupata jeraha la goti wakati timu yake ilipocheza na CSKA Moscow siku ya Alhamisi. (Telegraph).
HahahahaHahaha

Akichukua hataondoka na nnavo mjua baba yule lazma atachukua tuu.
Mwakani tena mnaendelea kwenyw rolercoster mnamaliza na FA