Mshambuliaji wa Arsenal Henrikh Mkhitaryan, 29, anaweza kuwa nje ya uwanja msimu mzima baada ya kupata jeraha la goti wakati timu yake ilipocheza na CSKA Moscow siku ya Alhamisi. (Telegraph).
HahahahaNdio anazingua sana huyu smalling 2013 alifanya the same mistake na kampani akafunga leo tena ni uzwazwa huu
Mshambuliaji wa Arsenal Henrikh Mkhitaryan, 29, anaweza kuwa nje ya uwanja msimu mzima baada ya kupata jeraha la goti wakati timu yake ilipocheza na CSKA Moscow siku ya Alhamisi. (Telegraph).
Si anapenda mwenyeweWanaongoza kwa magonjwa ya moyo. Unafikiri Wenga ana raha kweli?
Lakini siyo kazi rahisi...Si anapenda mwenyewe
Its you - westlifeIf i let you go- westlife
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Homa inapanda...
Numbisa
Kocha wa Manchester United Jose Mourinho ameanza mchakato wa kupata saini beki wa kushoto wa klabu ya Monaco, Mfaransa Djibril Sidibe, 25. (Le10Sport )
Duh!!Wadada wengi wanaopenda kuvaa High Heels,,wengi wao huwa ni wafupi