myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Full-time ManC 2 ManU 3
NilikuwepoMpaka sasa 2-0 wapi numbisa
Ila tumbo lilikuwa moto. Sema ukweli [emoji23][emoji23][emoji23]Nilikuwepo
Samahani kama swali hili halina mantiki. Kwa matokeo haya Man C wana wasiwasi wo wote wa kutotwaa ubingwa?Full-time ManC 2 ManU 3
Kocha wa klabu ya Watford Javi Gracia amesema mshambuliaji wake Andre Gray ni "mchezaji mzuri" lakini akakataa kutoa hakikisho lolote kuhusu mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 26 ikiwa atasalia klabuni hapo. (Hertfordshire Mercury)
Full magego - kama kawaida yako [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Glory glory man u