BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,767
- 288,340
Wajipange upya,,, wapo vzr sanaDefense yao bomu kabisa hawa, bado wana safari ndefu kutwaa UEFA Cup.
OkHapana mimi si City japo nilitamani watangaze ubingwa leo
Leo huyu jamaa kacheza michomo miwili ya maana kabisaDAVID DEGEA
Pole nasikia changing room fergie alienda kuwasemaSterling sijui alikuwa anaumwa nini[emoji13][emoji13]
Hapana mimi si City japo nilitamani watangaze ubingwa leo
Kweli...MAISHA YANAENDA KASI SANA
Klabu za Crystal Palace, Aston Villa na Malaga wako kwenye mbio za kumuwania kiungo wa kimataifa wa Australia Massimo Luongo,25 kutoka klabu ya QPR. (SBS)
Yawezekana maana ile comeback ya Man U last time niliiona kipindi cha FergiePole nasikia changing room fergie alienda kuwasema
Leo huyu jamaa kacheza michomo miwili ya maana kabisa
Bora hata Hajafunga,, Sterling akifunga huwa anambwembwe sana kama Welbek akiifunga United huwa anashangilia hadi keroSterling sijui alikuwa anaumwa nini[emoji13][emoji13]
Klabu za Crystal Palace, Aston Villa na Malaga wako kwenye mbio za kumuwania kiungo wa kimataifa wa Australia Massimo Luongo,25 kutoka klabu ya QPR. (SBS)
[emoji106][emoji106]Myoyabendi mzee wa kutoa updates za muda
he he he he
Klabu za Crystal Palace, Aston Villa na Malaga wako kwenye mbio za kumuwania kiungo wa kimataifa wa Australia Massimo Luongo,25 kutoka klabu ya QPR. (SBS)
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] naomba nikubali kwa leo tu japo bado anawasaidia sanaHakuna kipa mzuri kama huyu duniani.
Klabu za Crystal Palace, Aston Villa na Malaga wako kwenye mbio za kumuwania kiungo wa kimataifa wa Australia Massimo Luongo,25 kutoka klabu ya QPR. (SBS)